Welcome to ILEMI
Welcome to Ilemi Polytechnic College (IPC) website!
IPC offers over 30 Entrepreneurial courses, 4 Certificate courses and 20 Diploma courses designed to give you the skills you need for a new career in today's fastest growing fields.
Our expert faculty and friendly support staff are dedicated to helping you successfully complete your program and earn your certificate or diploma!
Lessons at Mbeya and Tukuyu will start on 8/7/2013: Click here for more details.
Pre-entry examination: click here
To download the College’s brochure: click here

CHUO CHA ILEMI NA AJIRA KWA VIJANA
Tumedhamiria kwa dhati kuondoa tatizo la ajira kwa vijana.
Kuanzia ufaulu wa daraja la nne kidato cha nne,utaweza kupanda hadi chuo kikuu na kutunukiwa digrii, na hatimaye kazi nzuri na mshahara mnono.
Sasa wazazi watapumua, shinikizo la damu litakoma. hakuna haja tena ya kurudia rudia mtihani wa kidato cha nne ili kusaka credits za kukupeleka chuo kikuu.
Baadhi ya kozi zetu za ngazi ya cheti na diploma ni business administration,general agriculture na ICT.
Soma zaidi historia na maendeleo ya chuo pamoja na mikakati ya chuo kuhusu ajira kwa vijana.










